STEVE BREWJIN ATUA TOTTENHAM Admin 8:15 AM A+ A- Print Email Klabu ya Tottenham imemsajili winga Steven Bergwijn kutoka klabu ya from PSV Eindhoven kwa mkataba wa miaka mitano na nusu. Bergwijn mwenye miaka 22 alifanyiwa vipimo vya afya Jumanne jijini London
Post a Comment