ISHU YA IST YA KABWILI, SIMBA WAITAJA TFF Admin 6:55 PM A+ A- Print Email Hii hapa ni taarifa ya Simba kuhusiana na tamko la Ramadhan Kabwili juu ya kupewa IST na viongozi wa klabu ya Simba. Moja ya kilichoandikwa ni Simba kuishukuru TFF kutokana na kuchukua hatua haraka za kuanza kulifuatilia suala hilo.
Post a Comment