Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa mchezo wa mapema majira ya saa kumi jioni katika ya Polisi Tanzania dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Ushirika.

Ambapo Ligi hiyo itaendelea baadaye majira ya saa moja usiku kati ya Simba dhidi ya Namungo FC kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.




Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.