Home
Unlabelled
BEKI WA FLAMENGO AWASILI ARSENAL
Beki wa klabu ya Flamengo Pablo Mari, amewasili jijini London kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya kwenye klabu ya Arsenal.Klabu hiyo ya London ipo kwenye mazungumzo na Flamengo ili kumsaini beki huyo kwa mkopo utakao dumu hadi mwisho wa msimu huu wenye kipengele cha kumchukua
Post a Comment