IMEELEZWA kuwa Paul Pogba anatumia nguvu kujiondoa ndani ya kikosi cha Manchester United.

Pogba hajajiunga na kikosi ambacho kitacheza na AC Milan leo mchezo wa kirafiki taarifa zinaeleza ni sehemu ya mgomo ndani ya United kushinikiza aachwe.

United wamesema kuwa kubaki kwa Pogba ni kutokana na kusumbuliwa na majeraha aliyoyapata wiki iliyopita.

Pogba mpango wake ni kutimka ndani ya kikosi hicho ili apate changamoto mpya.

Wakala wa kiungo huyo mwenye miaka 26, Mino Raiola amethibitisha kuwa nyota huyo anataka kutimkia Real Madrid Kwa dau la pauni milioni 150.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.