JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa ushindi walioupata mbele ya Polisi Tanzania ni mwendelezo wa maandalizi ya mechi za kimataifa.

Jana Azam FC iliwanyoosha Polisi Tanzania kwa kuwachapa bao 1-0 ambalo lilipachikwa na Paul Peter dakika ya 3 mchezo uliochezwa uwanja wa Chamazi.

"Huu ni muuendelezo wa maandaliz ya kikosi chetu kuelekea kwenye mechi ya kimataifa dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia unaotarajiwa kuchezwa Agosti 10 nchini Ethiopia," amesema.
Tags:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.