MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba kwenye mabao yake 19 ni mawili amefunga dakika zinazofana kwa kipindi cha pili.

Simba ikiwa imefunga mabao 63 ikiwa nafasi ya kwanza Kagere ametoa pasi tano za mabao.


Ligi Kuu Bara kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.

Mabao hayo alifunga ilikuwa mbele ya JKT Tanzania wakati Simba ilishinda mabao 3-1 Uwanja wa Uhuru na Simba 4-1 Alliance, Uwanja wa CCM Kirumba yote aliyafunga dakika ya 58.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.