KWENYE Serie A wakati ligi hiyo ikiwa imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, vinara walikuwa ni Juventus.

Hivyo Virusi vya Corona vimesimamisha taji la tisa la Juve iwapo wangepambana na kulinyakua msimu huu ambapo mshambuliaji wao CR anaongoza ndani ya timu hiyo kwa kucheka na nyavu akiwa na mabao 21.

Juve ikiwa imecheza mechi 26 imejiwekea kibindoni pointi 63 na imefunga mabao 50.

Nafasi ya 20 ipo mikononi mwa timu ya Brescia ambayo imecheza mechi 25 na ina pointi 16.

 Juve  imeshinda mataji ya Serie A mara nane mfululizo kama  mambo  yangeishia hivyo basi angetwaa taji la tisa kwa msimu huu.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.