SINGIDA United ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 imekuwa na beki nyanya kwa kuruhusu kufungwa mabao mengi.
Ikiwa imecheza mechi 29 za Ligi Kuu Bara imefungwa mabao 49 na wapinzani wao.
Safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 16 ndani ya Ligi ikiwa ipo nafasi ya 20 na pointi zake 15,
Kwenye ligi timu iliyofungwa mabao machache ni Simba ambayo imecheza mechi 28 na imefungwa mabao 15.
Post a Comment