SAFARI ya mwisho ya aliyewahi kuwa Ofisa Habari wa Simba Asha Muhaji ambaye alikuwa mwandishi mwandamizi imehitimishwa leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu yaliyopo Magomeni Mapipa, Dar es Salaam.
Asha alifariki jana Machi 25 alipokuwa akipewa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali, Dar es Salaam.
Asha alifariki jana Machi 25 alipokuwa akipewa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali, Dar es Salaam.
Post a Comment