Home
Unlabelled
ADEBAYOR AWEKWA KARANTINI NCHINI BENIN
Mshambuliaji wa Club Olimpia ya Paraguay Emmanuel Adebayor ,36, raia wa Togo amekwama Benin katika mji wa Cotonou kwa siku 15 akiwa anarudi kwao Togo baada ya kuwekwa Karantini na abiria wengine 84
Post a Comment