LIGI Kuu Bara kwa sasa imesimama kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.
Wachezaji wanaendelea kujifua kulingana na programu ambazo wamepewa na makocha wao ili mambo yakiwa shwari warejee kwenye ubora wao.
Hawa hapa mpaka ligi inasimama walikuwa wamecheka na nyavu kwa kutupia mabao sabasaba namna hii:- Sixtus Sabilo anakipiga Polisi Tanzania ana pasi tatu za mabao pia.
Marcel Kaheza anakipiga Polisi Tanzania ametupia mabao saba na kutoa pasi tano za mabao.
Ayoub Lyanga anakipiga Coastal Union ametupia mabao saba ndani ya Ligi Kuu Bara.
Wazir Jr anakipiga Mbao FC ametupia mabao saba na ana pasi mbili za mabao.
Deo Kanda anakipiga ndani ya Simba ametupia mabao saba na ana pasi nne za mabao.

Post a Comment