INAELEZWA kuwa Bayern Munich inataka kumchukua Philippe Coutinho ili awe mali yao jumla ndani ya kikosi hicho.


Raia huyo wa Brazil mwenye miaka 27 anakipiga ndani ya kikosi hicho cha Bayern Munich kwa mkopo.

Mabosi wake Barcelona wamemuweka sokoni nyota huyo ili kupata mkwanja wa kuwasajili nyota wengine ndani ya kikosi hicho.

Coutinho ni kiungo wa zamani wa Liverpool iliyo chini ya Jürgen Klopp kwa sasa huenda akaibukia Chelsea ambao nao wanahitaji kumpata kiungo ndani ya kikosi chao.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.