CAFU, nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil amesema kuwa Neymar Jr ni Habari nyingine kwa wachezaji wenye ujuzi wa kucheza mpira.

Nyota huyo ambaye ameipa Brazil mara mbili Kombe la Dunia amesema kuwa hata Lionel Messi hafui dafu Kwa Neymar. 


"Kwa sasa kwenye suala la ufundi hakuna ambaye anamfikia Neymar hasa kwa masuala ya kuchezea mpira japo kuwa mimi ni shabiki mkubwa wa Messi,".

 Staa huyo mwenye miaka alipata nafasi ya kukipiga pia ndani ya Roma ya Serie A.

Neymar kwa sasa anakipiga ndani ya PSG huku Messi akikipiga ndani ya Barcelona ila wawili hawa waliwahi kucheza wote ndani ya Barcelona.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.