JKT TANZANIA YAIPIGA VIBAYA SIMBA Admin 6:33 PM A+ A- Print Email Simba leo imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliopigwa kwenye dimba la Uhuru. FT: Simba SC 0-1 JKT Tanzania
Post a Comment