RAHEEM Sterling, jana aliwaomba msamaha mashabiki wa Liverpool kwa kupiga nao picha 'Selfie' pamoja na kushea nao stori kwenye ukurasa wa Instagram.
Manchester City ilitwaa kombe la ngao ya jamii kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Wembley kwa ushindi wa penalti 5-4 baada ya dakika 90 kutoka sare ya bao 1-1.
Nyota huyo mwenye miaka 24 anayekipiga timu ya Taifa ya England alicheza zamani timu hiyo kabla ya kujiunga na Manchester City.
Sterling aliwafuata mashabiki wa Liverpool na kuweka saini kwa baadhi ya shirts za mashabiki hao ikiwa ni ishara ya fair play
Nyota huyo alipachika bao la kwanza dakika ya 12 ambalo lilidumu mpaka dakika ya 77 ambapo Joel Malip aliweza kusawazisha.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.