MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa msimu ujao atakuwa anatupia pamba kali zaidi ya msimu uliopita.

Zahera msimu uliopita alikuwa anapenda kuvaa tisheti pamoja na kofia jambo ambalo alisema lilichangia kutobeba ubingwa hivyo msimu huu amejipanga kutupia kibingwa zaidi.

"Msimu uliopita ilikuwa rahisi kwa mashabiki kukariri mavazi yangu hasa lile shati langu ila msimu huu nimejipanga kama ambavyo niliahidi awali.
"Napenda kuwa na muoenekano mzuri na ninaamini kwa jinis ambavyo tupo msimu huu nina furaha sana na nitazidi kuwa kwenye furaha mpaka kwenye mtindo wa mavazi," amesema.
Tags:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.