MOHAMED Hussein, 'Tshabalala' nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi pamoja na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Tshabala ametupia mabao mawili na kutoa pasi mbili za mabao ndani ya Simba iliyofunga mabao 63.

Tshabalala amesema:" Ninapenda kuendelea kuwaomba watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona,  mimi pia ninachukua tahadhari huku nikifanya mazoezi binafsi,".

Ligi Kuu Tanzania Bara Bara imesimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona ambalo linaitikisa dunia kwa sasa.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.