HASSAN Kibailo, beki wa kulia wa Klabu
ya Coastal Union amesema kuwa atataja atakapokuwa msimu ujao pale msimu utakapokamilika.

"Bado ligi haijaisha hivyo siwezi kuzungumza kuwa nitakuwa wapi wakati nipo ndani ya Coastal Union, msimu ukikamilika nitajua wapi nitakapokuwa," amesema.

Coastal Union ipo nafasi ya tano kwenye msimamo kibindoni ina pointi 46.

Kwa sasa ligi imesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.