HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amekuwa na msimu mzuri ndani ya Namungo FC kwa kukiongoza kikosi chake kwenye mechi 28 na kukifanya kiwe nafasi ya nne na pointi zake 50.
Wachezaji wake mhimili ndani ya kikosi cha kwanza kwa sasa imekuwa ikielezwa kuwa wanapigiwa hesabu na timu mbalimbali ambazo zinahitaji kupata saini zao namna hii:-
Lucas Kikoti, kiungo inaelezwa kuwa Simba, Yanga na Azam FC zinahitaji saini yake.
Relliants Lusajo na Blaise Bigirimana, washambuliaji hawa Simba, Yanga inaelezwa wanawapigia hesabu.
Mizar Abdallah beki huyu anapigiwa hesabu na Polisi Tanzania na Kagera Sugar.
Post a Comment