TFF YATAJA VIINGILIO MECHI YA WATANI WA JADI Admin 4:26 AM A+ A- Print Email Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza waamuzi watakaochezesha mechi ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba sambamba na viingilio. Viingilio vitakuwa ni Mzunguko - 7,000, VIP B&C - 20,000 na VIP A - 30,000.
Post a Comment