Taarifa zilizopo zinaeleza kuwa uongozi wa Simba umeamua kuachana na straika wake Wilker da Silva.

Taarifa imeeleza kuwa maamuzi hayo yamekuja kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha mchezaji huyo.

Wilker tangu atue Simba amekuwa hana bahati ya kucheza zaidi ya kuingia akitokea benchi katika mechi kadhaa.

Inaelezwa kuwa mabosi wa Simba wameshapata mbadala wake ambaye anaweza tangazwa ndani ya wiki hii

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.