Mwandishi Saleh Ally Jembe amesema wanamichezo wana nguvu kubwa ya kupambana na Corona kuliko hata wanasiasa.

Akihojiwa na ETv, Salehjembe amesema anaona wanamichezo wengi wakiwemo wanasoka wanaona vita dhidi ya Corona kama haiwahusu.


"Wangekuwa wanaandika ujumbe mara kwa mara ule ambao unatolewa na wataalamu kwa lengo la kuifundisha jamii kwa ajili ya kutambua athari za ugonjwa huo, namna ya kujikinga na kadhalika, ungekuwa ni msaada mkubwa sana kwa kuwa jamii inawaamini na wana watu wengi sana nyuma yao."

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.