LEO, Mei 7,2020 majembe matatu yote mali ya Simba yanakumbuka siku yao ambayo yaliletwa duniani na kuanza kuziyeyusha siku ambazo wamepewa na Mungu.

Beki kiraka asiye na makuu uwanjani, Erasto Nyoni ambaye msimu huu wa 2019/20 ametupia bao moja licha ya kuwa ni beki anatimiza miaka kadhaa.

Meneja wa timu ya Simba, Patrick Rweyemamu ambaye amekuwa akitoa ushirikiano mkubwa kwa waandishi wa habari kuhusu mambo ya utawala naye pia anaongeza mwaka mmoja leo.

Mtunza vifaa vya timu, Hamisi Mtambo naye pia amekuwa bega kwa bega katika kupambana kuhakikisha anatunza vifaa vya Simba kama ambavyo majukumu yake yanamtaka na mtambu huu pia umeletwa duniani siku kama ya leo.


Kila la kheri Mungu azidi kuwa afya na busara zaidi. 

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.