MIONGONI mwa wazawa ambao wana urafiki na nyavu ni ndani ya Ligi Kuu Bara ni pamoja na Wazir Jr anayekipiga ndani ya Mbao FC.

Mbao FC ikiwa nafasi ya 19 baada ya kucheza mechi 29 imetupia mabao 19 huku yeye akihusika kwenye mabao tisa.

 
Jezi yake mgongoni ni namba saba sawa na mabao yake ambayo ni saba huku akitoa pasi mbili za mabao.


Jr amesema kuwa kikubwa ni kujituma ili kuona timu inapata matokeo chanya ndani ya uwanja.

"Jambo la msingi ni kujituma na kushirikiana na wachezaji wenzagu kupata matokeo, tunaomba Mungu hali iwe shwari ili turejee kuanzia pale tulipoishia," amesema

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.