MAKOCHA watatu tayari washapita ndani ya Arsenal ambayo bado haijakaa sawa kwenye mahesabu ya kutwaa taji la Ligi Kuu England.

Bosi mkubwa Arsene Wenger alidumu miaka 22 baada ya kujiuzulu, tayari makocha watatu wameifundisha timu hiyo.

Alianza Unai Emery kuifundisha alidumu miezi 18 akapigwa chini akafuata Fredrik Ljungberg na sasa ipo chini ya Mikel Arteta.


Kwenye msimamo wa Ligi Kuu England ipo nafasi ya tisa ikiwa imejikusanyia pointi 40 imecheza mechi 28

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.