KLABU ya Manchester United, imewataka nyota wake waliopo nje ya England, ndani ya siku saba kurejea haraka kuendelea na majukumu yao kama zamani.
Uamuzi huo umekuja ikiwa ni siku chache baada ya baadhi ya klabu za Premier League kuanza mazoezi kujiandaa na kurejea kwa ligi hiyo iliyosimama tangu Machi, mwaka huu kutokana na uwepo wa corona.
Baadhi ya nyota wa timu hiyo ambao wapo nje ya England ni Fred (Brazil), Victor Lindelof (Sweden) na Sergio Romero (Argentina).
Post a Comment