GABADINHO Mhango nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Orlando Pirates ni miongoni mwa washambuliaji wanaofanya vizuri nchini Afrika Kusini.

Raia huyo wa Malawi ni mbaya kwa kucheka na nyavu kwani ni kinara ndani ya Pirates akiwa ametupia mabao 18.

Jezi yake mgongoni ni namba saba inaelezwa kuwa nyota huyo ambaye ni kiungo mshambuliaji anafahamiana vema na kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison.

Amecheza mechi 18 za Ligi Kuu ya Afrika Kusini inatajwa kuwa yupo kwenye rada za Yanga ambao kwa sasa wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mshirika wao kampuni ya GSM.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.