HESABU za Yanga iwapo zitakubali kuwapa nyota wale ambao inaelezwa kuwa wapo kwenye mpango wa kusajili msimu ujao basi hili jeshi la Yanga litakuwa namna hii;-
Metacha Mnata
Juma Abdul
Mussa Mohamed kutoka Nkana FC
Lamine Moro
Yassin Mustapha wa Polisi Tanzania
Bernard Morrison
Ally Niyonzima kutoka Rayon Sport
Haruna Niyonzima
Tuisila Kisinda
Michael Sarpong
Heritier Makambo anakipiga Horoya AC
Post a Comment