PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa bado ataendelea kubaki na nyota wake muhimu ndani ya kikosi chake licha ya kudaiwa kwamba baadhi yao wanataka kuondoka.

Sergio Arguero ni miongoni mwa nyota wake ambao wanatajwa kuhitaji kuondoka huku Barcelona wakidaiwa kuwa wapo kwenye mchakato wa kuipata saini yake.

Guardiola amesema:"Kila mchezaji anafurahia maisha ambayo tunayaishi kwa sasa na hakuna ambae hapendi kuwa ndani ya City, nina imani nyota wengi wataendelea kubaki na kazi yetu tutaifanya kwa ushirikiano

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.