Home
Unlabelled
MSUVA MAMBO SAFI, KUTUA BENFICA MWEZI WA 7
Meneja wa Simon Msuva amethibitisha kuwa mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea Benfica ya Ureno lakini anaenda kwa mkopo wa miezi 6 Panathaikos ya Ugiriki, Msuva ataungana na Benfica rasmi July 2020, kila la kheri @smsuva27
Post a Comment