DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga kwa msimu wa 2019/20 anashikilia rekodi ya kuwa mshambuliaji wa kwanza kufunga hat trick.

Aliwatungua Yanga ambao ni mabosi wake wakati huo akiwa ndani ya Polisi Tanzania iliyokuwa chini ya Seleman Matola.

Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Uhuru dakika 90 zilikamilika kwa sare ya kufungana mabao 3-3.

Kwa sasa Nchimbi ametupia jumla ya mabao 6 na pasi mbili za mabao, alifunga mabao manne ndani ya Polisi Tanzania nna mabao mawili ametupia akiwa Yanga.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.