SALUM Aiyee akiwa ndani ya Mwadui FC msimu wa 2018/19 alitupia mabao 18 ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ni mzawa namba moja kucheka na nyavu.

Namba moja alikuwa ni mgeni wa kutoka Rwanda, Meddie Kagere ambaye alitupia mabao 23 na kwa sasa ana mabao 19.


Msimu huu Aiyee akiwa ndani ya KMC, 2019/20 ana bao moja kibindoni aliwatungua Yanga Uwanja wa Uhuru wakati KMC ikishinda bao 1-0.

Aiyee amesema msimu huu ametumia muda mwingi kutibu majeraha kuliko kucheza mpira.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.