KASSIM Khamis, mshambuliaji wa zamani wa Kagera Sugar aliyechomoa dili la kujiunga na vigogo wa Kariakoo Simba na Yanga anapata tabu sana ndani ya Azam FC.
Simba na Yanga zilihaha kuipata saini ya nyota huyu wa Zanzibar ila mabosi wa Azam FC wakawazidi ujanja na kuipata saini yake.
Licha ya makocha wawili kumkuta Kassim  aliyeanza na Etienne Ndayiragije ambaye kwa sasa yupo na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kisha Arstica Cioaba ila hana nafasi kikosi cha kwanza.
Akizungumza na Saleh Jembe, Kassim amesema kuwa haelewi sababu ya yeye kukaa benchi na hawezi kuzungumzia suala hilo.
“Sielewi sababu ya kukaa benchi na siwezi kuzungumzia masuala hayo,” amesema

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.