AISHI Manula amekaa langoni kwenye mechi 21 za Ligi Kuu Bara.

Beno Kakolanya amekaa langoni kwenye mechi saba. Simba ikiwa imecheza mechi 28 imefungwa mabao 15.

Manula amefungwa mabao 10 huku akisema kuwa bao la Bernard Morrison alikuwa hana ujanja wa kulizuia.

Kakolanya ametunguliwa mabao matano huku lile alilofungwa na Lukas Kikoti wa Namungo likiwa la umbali wa mita 18 likiwa ni la moto kwake.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.