DANI Olmo nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani inatajwa kuwa anaweza kurejea ndani ya Klabu ya Barcelona.

Mchezaji huyo mwenye miaka 21 alisepa ndani ya Barcelona Januari 2020 na kuibukia ndani ya Bundesliga.


Alikuwa ndani ya kituo cha kukuza vipaji ndani ya Barcelona kinachoitwa La Masia akiwa na umri wa miaka tisa.


Kiungo huyo mshambuliaji alitua ndani ya Klabu ya RB Leipzig akitokea Klabu ya Dinamo Zagreb ambapo alicheza jumla ya mechi 80 na kutupia mabao 20

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.