SERGIO Arguero, mshambuliaji wa Manchester City ana balaa ndani ya uwanja ambapo jumla akiwa ametumia dakika 27,033 amefunga mabao 254.

Mabao hayo ni kwenye michuano yote ndani ya City ambapo amecheza jumla ya mechi 368 hiyo ni tokea msimu wa 2011 mpaka sasa.

Amefunga mabao 25 kwa kichwa, mabao 181 kwa guu lake la kulia na mabao 47 kwa guu lake la kushoto.

Katika mabao hayo 254 amefunga jumla ya hat trick 16 na ametoa pasi 61 za mabao akiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 106.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.