UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa leo Uwanja wa Taifa dhidi ya Mbao FC.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa ametumia muda mchache kuwaunganisha wachezaji wake ia wataifuata Mbao kwa tahadhari.

"Tumetoka kumalizana na Alliance hvyo unaona wazi kwamba ratiba imebana lakini imani yetu ni kuona kwamba tunapaya matokeo," amesema.

Mwezi Februari ndani ya ligi Yanga ililazimisha sare nne mfululizo ambapo ilianza mbele ya Mbeya City kwa kufngana bao 1-1, Prisons bila kufungana, Tanzania Polisi na Coastal Union

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.