UONGOZI wa Yanga na mdhamini GSM wamehaidi kutoa Sh 200milioni kwa wachezaji wa Yanga iwapo watashinda mechi yao dhidi ya Simba Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa.
Akizungumza makao makuu ya Yanga, Afisa Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz alisema wadhamini wa GSM wameweka mezani Sh200 Milioni kwa wachezaji endapo watapata ushindi wa aina yoyote siku hiyo
Post a Comment