IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameondolewa ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri ndani ya kikosi hicho.
Habari kutoka ndani zinaeleza kuwa Zahera alitakiwa atoe ripoti ya mechi zake zote za kimataifa ili kamati iamue hatma yake ambapo kamati imeamua kumpiga chini.
Jitihada za Saleh Jembe kuutafuta uongozi wa Yanga zinaendelea ili kupata undani wa habari hizi tutaendelea kukujuza.
Post a Comment