Home
Unlabelled
Kocha Mwingine Atimuliwa Ligi Kuu ya Uingereza
Klabu ya Watford imemfuta kzi kocha wake Quique Sanchez Flores, na hii ni baada ya kudumu kwenye klabu hiyo kwa siku 85 tangia apewe jukumu la ukocha kwa mara ya pili kwenye timu hiyo.
Watford kwa sasa inashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Post a Comment