Imeripotiwa kuwa Mtanzania Hamis Maya ameshinda pambano la ngumi dhidi ya Mjerumani Pierguilio Ruhe.

Ushindi wa Mtanzania huyo umepatikana kwa njia ya TKO kunako raundi ya nne ya pambano hilo.

Baada ya kufanikiwa kumtandika Mjerumani, Maya amefanikiwa kubeba mkanda wa  kwa TKO raundi ya nne nchini Ujerumani dhidi ya Piergiulio Ruhe na kushinda ubingwa wa GBC Intercontinental Welterweight.

Inaelezwa kuwa Mjerumani huyo alikuwa hajawahi kupoteza pambano lolote lile na jana ilikuwa yake ya kwanza kupoteza

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.