KOCHA Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa mchezaji wake Straika David Molinga kazi yake ni kufunga na sio kupiga pasi nyingi huku akiwa amepewa majukumu mengine.
Zahera amesema Molinga akosekana katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco United siku ya Jumamosi Agosti 14, 2018 kutokana na leseni yake kutokamilika.
Post a Comment