Dirisha la usajili Ulaya limefungwa jana usiku, ambapo AS Roma wameanikiwa kumsajili kiungo mchezeshaji wa Arsenal Henrikh Mkhitaryan kwa mkopo wa mda mrefu.

Miamba hao wa Serie wamefanikiwa kunasa huduma ya nyota huyo kufuatia kutokuwa na nafasi ya kudumu katika kikosi cha kwanza hapo emirates tangu aondoke Manchester United.

Raia huyo wa Armenia huenda sasa anaungana na Nacho Monreal na Mohammed Elneny ambao wamejiunga na Real Sociedad na Beşiktaş mtawalia.

Lakini Mkhitaryan alibadilishwa katika dabi ya jana na pia alichezeshw akwenye mechi dhidi ya Newcastle huku pia mshahara wake wa yuro laki mbili kwa wiki ukiwa kikwazo.

Iwapo Mkhitaryan atakamilisha uhamisho huo wa mkopo atajiunga pamoja na Chris Smalling aliyewai kucheza naye katika klabu ya Manchester United.

Maoni ya mashabiki

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.