RALLY BWALYA ATAMBULISHWA AMAZULU YA AFRIKA KUSINI Admin 8:15 PM A+ A- Print Email Kiungo Rally Bwalya raia wa Zambia ametambulishwa rasmi kuwa Mchezaji wa Timu ya Amazulu ya Afrika Kusini akitokea SimbaBwalya amesema “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu”Timu ya Amazulu imemaliza Msimu wa 2021/22 ikiwa nafasi ya 7 katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini kati ya timu 16
Post a Comment