VIDEO:MASTAA SIMBA WAMEWASILI MWANZA Admin 9:06 PM A+ A- Print Email MASTAA Simba ikiwa ni pamoja na John Bocco,Meddie Kagere,Henock Inonga wamewasili Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa kesho Mei 22, Uwanja wa CCM Kirumba 21May2022
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.