GEITA GOLD V SIMBA SASA KUPIGWA CCM KIRUMBA Admin 9:34 AM A+ A- Print Email MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Geita Gold v Simba unaotarajiwa kuchezwa Mei 22,2022 utachezwa Uwanja wa CCM Kirumba.Geita Gold imekuwa kwenye mwendo mzuri msimu huu baada ya kuanza kwa kusausua mwanzoni mwa msimu na sasa inacheza soka bora.Mchezo wake uliopita ilicheza dhidi ya Mbeya Kwanza na ilishinda bao 1-0 Uwanja wa Majimaji,Songea. Tags: SIMBA 19May2022
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.